WAZIRI MKUU AITAKA BENKI YA KILIMO ITEKELEZE AGIZO LA RAIS SAMIA

*Ataka Wizara ya Mifugo iendeleze kampeni ya unywaji wa maziwa   WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa ameuagiza uongozi wa Benki ya Kilimo Tanzania (TADB) uhakikishe fedha ya mikopo kwa wakulima wadogo zinatumika ipasavyo na kwa kuzingatia maelekezo ya Mheshimiwa Rais Samia Suluhu Hassan. “Benki ya Maendeleo ya Kilimo izingatie agizo la Mheshimiwa Rais Samia Suluhu Hassan la